Toba

Cover of Toba by Mai Godfrey
Author: Mai Godfrey
Year: 2024
Language: sw
Pages: 466
ISBN-13: 9781662894558
Dimensions:
Height: 8 inches
Length: 5 inches
Weight: 1.10892517786 pounds
Width: 1.04 inches
Editorial overview Touché

Toba by Mai Godfrey, published by Salem Author Solutions on July 7, 2024, is a 466-page book written in Swahili. This work addresses the spiritual dryness many experience, exploring the feelings of emptiness that can accompany a lack of genuine connection to faith practices. It presents a structured approach to repentance, aiming to guide readers in seeking a deeper relationship with God.

Readers will find practical guidance on the process of repentance, which can assist both Christians and non-Christians in understanding the true nature of God. The book includes detailed prayers and testimonies that highlight the author’s ministry and vision. Through its pages, Toba encourages individuals to strengthen their prayer life and spiritual authority, fostering connections with God and those around them. This resource serves as a repeated guide for spiritual battles and prayer, aiming to reveal the miraculous possibilities that can emerge from sincere devotion.


Official synopsis Publisher

Toba. Inamaana gani kwako? Inakuletea hali ya hofu? Au inakuletea hali ya furaha? Umeshawahi kujikuta kwenye hali ya ukavu wa kiroho ukajisikia kuwa mtupu, haijalishi nini unafanya? Iwe ni kwenda kanisani kwa ujumla, au kusali kwa kujilazimisha, chochote unachokifanya juu ya mambo ya rohoni huvutiwi nayo, hata kuomba kwako ni pasipo kuwa na msukumo wa ndani na kuishia kujisikia vibaya? Kama ndivyo hiki ni kitabu kitakachokufaa. Kitabu cha Toba cha mwandishi Mai Godfrey ni cha kipekee na chenye kukupa mwanga kwa habari ya Toba. Msomaji utakutana na kitabu chenye utaratibu muhimu wa kufanya toba, unaomsaidia mtu yeyote kuweza kuutafuta uso wa Mungu. Kitabu hiki kinaweza kuwasaidia wakristo na wasiowakristo kumjua Mungu wa kweli kwa namna tofauti baada ya kufanya toba. Ni muongozo unaoweza kutumika tena na tena, iwe ni kwa ajili ya toba tu au kwa ajili ya maombi mazuri ya kupambana na vita vya kiroho na kufunguliwa. Muongozo wake utakusaidia kuweza kuomba kwa nguvu na mamlaka na kuweza kuona matokeo unayotamani kuyapata unapoomba. Ndani ya kurasa hizi, msomaji na muombaji, utakutana na shehena kubwa ya sala zenye maelezo ya kina juu ya huduma ya mwandishi, mpangilio wake, dira yake, pamoja na shuhuda zenye uzito wa majibu ya maombi. Unapokitumia kitabu hiki, unatengeneza mahusiano yako na Mungu, pamoja na watu wanaokuzunguka. Miujiza iliyokuwa inaonekana haiwezekani, mara itaonekana kuwezekana. Anza safari yako ya kuwa muombaji mzuri leo!

FAQ
What is “Toba” about?
This page includes the available description and bibliographic details for “Toba” by Mai Godfrey. Synopsis preview: Toba. Inamaana gani kwako? Inakuletea hali ya hofu? Au inakuletea hali ya furaha? Umeshawahi kujikuta kwenye hali ya ukavu wa kiroho ukajisikia kuwa mtupu, haijalishi nini unafanya? Iwe ni kwenda kanisani kwa ujumla, au…
Who is the author of “Toba”?
“Toba” is credited to Mai Godfrey.
When was “Toba” published?
Publisher: Salem Author Solutions. Year: 2024.
What is the ISBN for “Toba”?
ISBN-13: 9781662894558.
What are the book details (language, pages, edition)?
Language: sw. Pages: 466.

Related Books by Topic